Wednesday, January 11, 2012

TANZANIA NEXT TOP MODEL 2012 ILIFANA SANA

Asha Mshindi wa kike katika Tanzania Next Top Model 2011

Juma, Palbo Mshindi wa kiume, carolyne muandaaji, Designer Mmasai, Oliver kubaga n Aderiah

Finally ya kumtafuta Tanzania next top model ilifana katika ukumbi wa Regency Park Hotel. akiliongelea shindalo hilo Mkurugenzi wa Company ya Smiling Faces alisema Alifurahi sana kuona turn up ya watu waliofika kuangalia shindano hilo. aliendelea kusema kuwa Madodel wa kike na wa kiume walifanya vizuri sana na Mshindi wa kiume aliibuka Pablo na wa kike Asha suleman.

No comments:

Post a Comment