Thursday, July 26, 2012

MTANZANIA ANAEFANYA VIZURI KATIKA ANGA ZA NJE

Carolyne peter zayumba yuko juu kwa sasa. yeye ni model anaefanya kazi zake nchini cape town na pia ni muigizaji wa filamu. lakini juzi juzi tumemfuma studio akiwa busy anarekodi single yake.

No comments:

Post a Comment